Notifications
You must be signed in to change notification settings - Fork 14.6k
Commit
This commit does not belong to any branch on this repository, and may belong to a fork outside of the repository.
- Loading branch information
Showing
1 changed file
with
220 additions
and
0 deletions.
There are no files selected for viewing
220 changes: 220 additions & 0 deletions
220
_articles/sw/maintaining-balance-for-open-source-maintainers.md
This file contains bidirectional Unicode text that may be interpreted or compiled differently than what appears below. To review, open the file in an editor that reveals hidden Unicode characters.
Learn more about bidirectional Unicode characters
Original file line number | Diff line number | Diff line change |

@@ -0,0 +1,220 @@ | ||

lang: sw | ||
untranslated: true | ||
title: Kudumisha Mizani kwa Watunzaji wa Open Source | ||
description: Vidokezo vya kujitunza na kuepuka uchovu kama mtunzaji. | ||
class: balance | ||
order: 0 | ||
image: /assets/images/cards/maintaining-balance-for-open-source-maintainers.png | ||

Kadiri mradi wa open source unavyozidi kupata umaarufu, ni muhimu kuweka mipaka iliyo wazi ili kukusaidia kudumisha usawa ili uwe katika hali shwari na ya kuleta tija kwa muda mrefu. | ||

Katika hali ha kutaka kupata maarifa juu ya uzoefu wa watunzaji na mikakati yao ya kupata usawa, tuliendesha warsha na wanachama 40 wa Jumuiya ya Watunzaji, iliyoturuhusu kujifunza kutokana na uzoefu wao wa moja kwa moja na uchovu katika open source, na mazoea ambayo yamewasaidia kudumisha usawa katika kazi zao. Hapa ndipo dhana ya ikolojia ya kibinafsi inapoingia. | ||

Kwa hivyo, ikolojia ya kibinafsi ni nini? Kama ilivyoelezwa na Taasisi ya Uongozi ya Rockwood, inahusisha "kudumisha usawa, mwendo na ufanisi ili kudumisha nishati yetu maishani. Hili lilianzisha mazungumzo yetu, na kusaidia watunzaji kutambua matendo na michango yao kama sehemu ya mfumo wa ikolojia mkubwa ambao hubadilika baada ya muda. Uchovu, ugonjwa unaotokana na mfadhaiko sugu wa mahali pa kazi kama [inavyofafanuliwa na WHO](https://icd.who.int/browse11/l-m/en#/http://id.who.int/icd/entity/129180281), ni kawaida kati ya watunzaji. Mara nyingi jambo hili husababisha kupoteza motisha, kutokuwa na uwezo wa kuzingatia, na ukosefu wa huruma kwa wachangiaji na jumuiya unayofanya kazi nayo. | ||

Sikuweza kuzingatia au kuanza kazi. Nilikuwa na ukosefu wa huruma kwa watumiaji | ||

— @gabek, mtunzaji wa seva ya utiririshaji ya moja kwa moja ya Owncast, juu ya athari za uchovu kwenye kazi yake ya Open Source | ||

Kwa kukumbatia dhana ya ikolojia ya kibinafsi, watunzaji wanaweza kuepuka uchovu, kutanguliza kujitunza, na kudumisha hali ya usawa ili kufanya kazi yao bora zaidi. | ||

## Vidokezo vya Kujitunza na Kuepuka Uchovu Ukiwa Mtunzaji: | ||

### Tambua motisha zako za kufanya kazi katika open source | ||

Chukua muda wa kutafakari ni sehemu gani za utunzaji ya open source hukupa nguvu. Kuelewa motisha zako kunaweza kukusaidia kutanguliza kazi kwa njia inayokufanya ujishughulishe na kuwa tayari kwa changamoto mpya. Iwe ni maoni chanya kutoka kwa watumiaji, furaha ya kushirikiana na jumuiya, au kuridhika kwa kuingia katika msimbo, kutambua motisha zako kunawezakusaidia kukuelekeza. | ||

### Tafakari juu ya kile kinachokufanya utoke kwenye usawa na kukosa utulivu | ||

Ni muhimu kuelewa ni nini husababisha sisi kupata uchovu. Hapa kuna mada chache za kawaida tulizoona kati ya watunzaji wa open source: | ||

* **Ukosefu wa maoni chanya:** Watumiaji wana uwezekano mkubwa zaidi wa kutafuta usaidiazi wakati wana malalamiko peke yake. Ikiwa kila kitu kitafanya kazi vizuri, huwa wanakaa kimya. Inaweza kuwa ya kukatisha tamaa kuona orodha inayokua ya masuala bila maoni chanya yanayoonyesha jinsi michango yako inavyoleta mabadiliko. | ||

Wakati mwingine inahisi kama kupiga kelele kwenye utupu na ninapata kuwa maoni hunitia nguvu. Tuna watumiaji wengi wenye furaha lakini watulivu. | ||

— @thisisnic, mtunzaji wa Apache Arrow | ||

* **Kutosema 'hapana':** Inaweza kuwa rahisi kuchukua majukumu zaidi kuliko unapaswa kwenye mradi wa open source. Iwe inatoka kwa watumiaji, wachangiaji au wasimamizi wengine - hatuwezi kutimiza matarajio yao kila wakati. | ||

Niligundua nilikuwa nikichukua zaidi ya mtu mmoja na kulazimika kufanya kazi ya watu wengi, kama inavyofanywa kawaida katika FOSS. | ||

— @agnostic-apollo, mtunzaji wa Termux, juu ya nini husababisha uchovu katika kazi zao | ||

* **Kufanya kazi peke yako:** Kuwa mtunzaji kunaweza kuwa mpweke sana. Hata kama unafanya kazi na kikundi cha watunzaji, miaka michache iliyopita imekuwa ngumu kwa kukusanya timu zinazosambazwa ana kwa ana. | ||

Hasa kwa vile COVID na kufanya kazi nyumbani ni vigumu kamwe kuona mtu yeyote au kuzungumza na mtu yeyote. | ||

— @gabek, mtunzaji wa seva ya utiririshaji ya moja kwa moja ya Owncast, juu ya athari za uchovu kwenye kazi yake ya open source | ||

* **Kukosa wakati wa kutosha au rasilimali:** Hii ni kweli hasa kwa watunzaji wa kujitolea ambao wanapaswa kujitolea wakati wao wa bure kufanya kazi kwenye mradi. | ||

Ningependa kuwa na usaidizi zaidi wa kifedha, ili niweze kuzingatia kazi ya open source bila kutumia akiba yangu na kujua kwamba itabidi nifanye kandarasi nyingi ili kufidia baadaye. | ||

— mtunzaji wa open source | ||

* **Mahitaji yanayokinzana:** Open Source umejaa vikundi vilivyo na motisha tofauti, ambayo inaweza kuwa ngumu kupitia. Ikiwa unalipwa kufanya tovuti huria, maslahi ya mwajiri wako wakati mwingine yanaweza kutofautiana na jumuiya. | ||

Kwa Open Source unaolipiwa, mgongano kati ya lengo la mwajiri na kile kinachofaa kwa jumuiya | ||

— mtunzaji wa open source | ||

### Jihadhari na dalili za uchovu | ||

Je, waweza kuendelea na kasi yako kwa wiki 10? miezi 10? miaka 10? | ||

Kuna zana kama vile [Orodha ya Uchovu ya Kukaguliwa](https://governingopen.com/resources/signs-of-burnout-checklist.html) kutoka kwa [@shaunagm](https://github.com/shaunagm) ambayo inaweza kukusaidia kutafakari kasi yako kwa wakati uliomo na kuona kama kuna marekebisho yoyote unayoweza kufanya. Baadhi ya watunzaji pia hutumia teknolojia inayoweza kuvaliwa kufuatilia vipimo kama vile ubora wa usingizi na mabadiliko ya mapigo ya moyo (yote yanahusishwa na msongo wa mawazo). | ||

Mimi ni muumini mkubwa wa mavazi mazuri. Ukiwa na sayansi nyuma yake, unaweza kuelewa jinsi ambavyo ungefanya vizuri zaidi na jinsi ya kufikia hali bora ya kile unachotaka kufanya. | ||

— mtunzaji wa open source | ||

### Ungehitaji nini ili kuendelea kujiendeleza mwenyewe na jamii yako? | ||

Hii itaonekana kuwa tofauti kwa kila mtunzaji, na itabadilika kulingana na awamu yako ya maisha na mambo mengine ya nje. Lakini hapa kuna mada kadhaa tulizosikia: | ||

* **Tegemea jamii:** Kukabidhi madaraka na kutafuta wachangiaji kunaweza kupunguza mzigo wa kazi. Kuwa na sehemu nyingi za mawasiliano kwa mradi kunaweza kukusaidia kupumzika bila kuwa na wasiwasi. Ungana na watunzaji wengine na jumuiya pana-katika vikundi kama vile [Jumuiya ya Watunzaji](http://maintainers.github.com/). Hii inaweza kuwa nyenzo nzuri kwa usaidizi wa rika na kujifunza. | ||

Unaweza pia kutafuta njia za kuwasiliana na jumuiya ya watumiaji, ili uweze kusikia maoni mara kwa mara na kuelewa athari za kazi yako ya open source. | ||

* **Chunguza ufadhili:** Iwe unatafuta pesa za pizza, au unajaribu kuingia katika open source ya wakati wote, kuna nyenzo nyingi za kukusaidia! Kama hatua ya kwanza, zingatia kuwasha [Wafadhili wa GitHub](https://github.com/sponsors) ili kuruhusu wengine kufadhili kazi yako ya open source. Ikiwa unafikiria kuruka hadi wakati wote, tuma ombi kwa raundi inayofuata ya [GitHub Accelerator](http://accelerator.github.com/). | ||

Nilikuwa kwenye podikasti muda mfupi uliopita na tulikuwa tukizungumza kuhusu utunzaji na uendelevu wa Open Source. Niligundua kuwa hata idadi ndogo ya watu wanaounga mkono kazi yangu kwenye GitHub inanisaidia kufanya uamuzi wa haraka wa kutoketi nikicheza, badala yake kushiriki na kutumia muda huo katika Open Source. | ||

— @mansona, mtunzaji wa EmberJS | ||

* **Tumia zana:** Gundua zana kama vile [GitHub Copilot](https://github.com/features/copilot/) na [GitHub Actions](https://github.com/features/actions) ili ufanye kazi kiotomatiki na uongeze wakati wako kwa michango yenye maana zaidi. | ||

Tumia [Copilot](https://github.com/features/copilot/) kwa mambo ya kuchosha - fanya mambo ya kufurahisha | ||

— mtunzaji wa open source | ||

* **Pumzika na ujiongeze nguvu:** Tenga wakati wa mambo yako ya kuburudika na yanayokuvutia nje ya Open Source. Chukua mapumziko ya wikendi ili kujistarehesha na kujichangamsha na uweke [hali yako ya GitHub](https://docs.github.com/account-and-profile/setting-up-and-managing-your-github-profile/customizing-your-profile/personalizing-your-profile#setting-a-status) ili kuonyesha upatikanaji wako! Kulala vizuri kunaweza kuleta mabadiliko makubwa katika uwezo wako wa kudumisha juhudi zako kwa muda mrefu. | ||

Ukipata vipengele fulani vya mradi wako kuwa vya kufurahisha hasa, jaribu kupanga kazi yako ili uweze kuipitia siku yako yote. | ||

Ninapata fursa zaidi ya kunyunyizia ‘wakati wa ubunifu’ katikati ya siku badala ya kujaribu kuzima jioni. | ||

— @danielroe, mtuzi wa Nuxt | ||

* **Weka mipaka:** Huwezi kubali kila ombi. Hii inaweza kuwa rahisi kama kusema, "Siwezi kufikia hilo kwa sasa na sina mipango ya siku zijazo," au kuorodhesha kile ambacho ungependa kufanya na kutofanya katika README. Kwa mfano, unaweza kusema: "Ninaunganisha tu PR ambazo zimeorodhesha waziwazi sababu zilizofanywa," au, "Mimi hukagua tu masuala Alhamisi mbadala kuanzia 6-7pm." Hii huweka matarajio kwa wengine, na kukupa kitu ya kuelekeza wakati mwingine ili kusaidia kupunguza madai kutoka kwa wachangiaji au watumiaji kwa wakati wako. | ||

Ili kuwaamini wengine katika haya yote, huwezi kuwa mtu anayekubali kila ombi. Kwa kufanya hivyo, huhifadhi mipaka, kitaaluma au kibinafsi, na hautakuwa mfanyakazi anayeaminika. | ||

— @mikemcquaid, mtunzaji wa Homebrew kuhusu [Kusema Hapana](https://mikemcquaid.com/saying-no/) | ||

Jifunze kuwa thabiti katika kuzima tabia ya sumu na mwingiliano mbaya. Ni sawa kutotoa nguvu kwa vitu usivyojali. | ||

Programu yangu ni bure, lakini wakati wangu na umakini sio. | ||

— @IvanSanchez, mtunzaji wa Leaflet | ||

Siyo siri kuwa utunzaji wa Open Source una pande zake za giza, na mojawapo ya haya ni lazima wakati mwingine kuingiliana na watu wasio na shukrani, wenye haki au tabia-sumu kabisa. Umaarufu wa mradi unavyoongezeka, ndivyo pia mara kwa mara ya aina hii ya mwingiliano, na kuongeza mzigo unaobebwa na watunzaji na inawezakuja kuwa sababu kubwa ya hatari kwa uchovu wa watunzaji. | ||

— @foosel, mtunzaji wa Octoprint kuhusu [Jinsi ya kukabiliana na watu wasio wazuri](https://www.youtube.com/watch?v=7lIpP3GEyXs) | ||

Kumbuka, ikolojia ya kibinafsi ni uzoefu endelevu ambayo yatabadilika unapoendelea katika safari yako ya Open Source. Kwa kutanguliza kujitunza na kudumisha hali ya usawa, unaweza kuchangia jumuiya ya Open Source kwa ufanisi na kwa uendelevu, na kuhakikisha ustawi wako na mafanikio ya miradi yako kwa muda mrefu. | ||

## Rasilimali za Ziada | ||

* [Jumuiya ya Watunzaji](http://maintainers.github.com/) | ||
* [Mkataba wa kijamii wa Open Source](https://snarky.ca/the-social-contract-of-open-source/), Brett Cannon | ||
* [Uncurled](https://daniel.haxx.se/uncurled/), Daniel Stenberg | ||
* [Jinsi ya kukabiliana na watu wasio na roho nzuri](https://www.youtube.com/watch?v=7lIpP3GEyXs), Gina Häußge | ||
* [SustainOSS](https://sustainoss.org/) | ||
* [Rockwood Art of Leadership](https://rockwoodleadership.org/art-of-leadership/) | ||
* [Kusema Hapana](https://docs.google.com/document/d/1esQQBJXQi1x_-1AcRVPiCRAEQYO4Qlvali0ylCvKa_s/edit?pli=1#:~:text=Saying%20No%20%7C%20Mike%20McQuaid), Mike McQuaid | ||
* [Governing Open](https://docs.google.com/document/d/1esQQBJXQi1x_-1AcRVPiCRAEQYO4Qlvali0ylCvKa_s/edit?pli=1#:~:text=a%20mixed%20list.-,Governance%20of%20Open%20Source%20Software,-governingopen.com) | ||
* Ajenda ya warsha ilichanganywa kutoka [Mozilla's Movement Building from Home](https://docs.google.com/document/d/1esQQBJXQi1x_-1AcRVPiCRAEQYO4Qlvali0ylCvKa_s/edit?pli=1#:~:text=a%20mixed%20list.-,It%E2%80%99s%20a%20wrap%3A%20Movement%2DBuilding%20from%20Home,-foundation.mozilla.org) series | ||

## Wachangiaji | ||

Shukrani nyingi kwa watunzaji wote ambao walishiriki uzoefu wao na vidokezo nasi kwa mwongozo huu! | ||

Mwongozo huu uliandikwa na [@abbycabs](https://github.com/abbycabs) kwa michango kutoka kwa: | ||

[@agnostic-apollo](https://github.com/agnostic-apollo) | ||
[@AndreaGriffiths11](https://github.com/AndreaGriffiths11) | ||
[@antfu](https://github.com/antfu) | ||
[@anthonyronda](https://github.com/anthonyronda) | ||
[@CBID2](https://github.com/CBID2) | ||
[@Cli4d](https://github.com/Cli4d) | ||
[@confused-Techie](https://github.com/confused-Techie) | ||
[@danielroe](https://github.com/danielroe) | ||
[@Dexters-Hub](https://github.com/Dexters-Hub) | ||
[@eddiejaoude](https://github.com/eddiejaoude) | ||
[@Eugeny](https://github.com/Eugeny) | ||
[@ferki](https://github.com/ferki) | ||
[@gabek](https://github.com/gabek) | ||
[@geromegrignon](https://github.com/geromegrignon) | ||
[@hynek](https://github.com/hynek) | ||
[@IvanSanchez](https://github.com/IvanSanchez) | ||
[@karasowles](https://github.com/karasowles) | ||
[@KoolTheba](https://github.com/KoolTheba) | ||
[@leereilly](https://github.com/leereilly) | ||
[@ljharb](https://github.com/ljharb) | ||
[@nightlark](https://github.com/nightlark) | ||
[@plarson3427](https://github.com/plarson3427) | ||
[@Pradumnasaraf](https://github.com/Pradumnasaraf) | ||
[@RichardLitt](https://github.com/RichardLitt) | ||
[@rrousselGit](https://github.com/rrousselGit) | ||
[@sansyrox](https://github.com/sansyrox) | ||
[@schlessera](https://github.com/schlessera) | ||
[@shyim](https://github.com/shyim) | ||
[@smashah](https://github.com/smashah) | ||
[@ssalbdivad](https://github.com/ssalbdivad) | ||
[@The-Compiler](https://github.com/The-Compiler) | ||
[@thehale](https://github.com/thehale) | ||
[@thisisnic](https://github.com/thisisnic) | ||
[@tudoramariei](https://github.com/tudoramariei) | ||
[@UlisesGascon](https://github.com/UlisesGascon) | ||
[@waldyrious](https://github.com/waldyrious) + wengineo! |